Ukasha dental clinic

Ukasha dental clinic

Providing Oral haelth services:
-Prevention
-Treatment
-Rehabilitation

Operating as usual

[08/18/20]   Hi guys, Poleni kwa kusubiri kipindi kirefu bila posts kutoka katika Clinic yako uipendayo Ukasha Dental Clinic.Leo tunaendelea tunadokeza juu ya tatizo la kusaga meno usiku unapokuwa umelala.Hilo Ni tatizo walilonalo baadhi ya watu katika jamii zetu.Tatizo la kutafuna(kusaga meno) linaweza kukusababishia meno yako kusagika na kupoteza sehemu ya juu ya jino(enamel) iliyotengenezwa maalum kwa ulinzi wa meno yako.Sehemu hii ikisagika unaweza kupata ganzi kwenye meno, ukila kitu Cha moto au baridi utapata maumivu makali mno, pia hutachindwa kula vitu vyenye uchachu.Tatizo lingine linaloweza kujitokeza Ni maumivu katika sehemu ya chini ya sikio(kwa ndani) sehemu hii Kuna maungio tunayoyaita TMJ. Pia utapata maumivu ya kichwa kila unapoamka asubuhi.Wasiliana nasi ili tuweze kukupatia kifaa maalum utakacho kivaa wakati wa kulala ili kuzuia kusaga meno yako na hivyo kuepukana na matatizo yote yatokanayo na kusaga meno usiku.

[03/04/20]   Habari. Unahitaji matibabu ya afya ya kinywa na Meno au unamaswali kuhusu Meno yako, karibu uliza tukujibu

[02/04/20]   Umecheck afya ya kinywa chako leo??

Unapiga mswaki usiku??

Je, mswaki wako umeutumia kwa zaidi ya miezi 3?

Je, kinywa chako kinatoa harufu mbaya?

Je, fizi zako zinatoa damu ukila vitu vigumu au unapopiga mswaki??

Je, umepoteza Meno na unahitaji Meno bandia?

Meno yako yametoboka na Yana maumivu?

Meno yako yameota vibaya na unatamani kurekebisha?

Kama Una moja Kati ya changamoto hapo juu karibu tukusaidie.

[08/04/17]   Habari za siku nyingi wadau.Poleni sana kwa kusubiri post zetu zilozoadimika kwa muda mrefu.Kaeni tayari kulata mambo mazuri hb punde.

Videos (show all)

Location

Category

Telephone

Address


Ukasha[email protected]
Dar Es Salaam
Other General Dentists in Dar es Salaam (show all)
ABC Dental Clinic ABC Dental Clinic
2nd Floor, "KFC Restaurant Builing" Mikocheni Village, Mwai Kibaki Riad
Dar Es Salaam, +255

ABC is a new Dental Clinic in Dar Es Salaam, Tanzania. The Clinic is located at Mwai Kibaki road, in the building where KFC Restaurant is at.

Empire Dental Clinic - Dar es Salaam Empire Dental Clinic - Dar es Salaam
1st Floor, Faykat Tower, Plot 236, Ali Hassan Mwinyi Rd, Kinondoni
Dar Es Salaam, 255

We are a comprehensive oral Dental clinic in Dar es Salaam . Apart from providing general dentistry for the whole family the clinic offers cosmetic solutions to enhance your smile through teeth whitening, veneers, Dental braces and dental implants.

Esnan Dental Turkish CLINIC,dar Es Salaam Esnan Dental Turkish CLINIC,dar Es Salaam
OLD BAGAMOYO ROAD,130 MIKOCHENI B 65236
Dar Es Salaam, +255

We are delighted that you chose to visit our page and look forward to serving your dental needs. Our mission is to give you the highest quality dental care

Akim Dental Service Akim Dental Service
Samora Avenue NHC House 9th Floor Room 918
Dar Es Salaam

Open Monday - Saturday 8:00am - 5:00pm

OMEGA Dental CARE" clinic. OMEGA Dental CARE" clinic.
Morogor Road Magomeni Usalama Opposite Brt Bus Stand
Dar Es Salaam, +255

we are very dedicated in taking care and delivering standard dental treatment.Like removale partila denture,fixed braces,root canal treatment, crown.

Dental Studio Dental Studio
1) 1st Floor Sea Cliff Village; 2) Shoppers Plaza Mbezi, Kanisa Road,
Dar Es Salaam, 38322

Welcome to the Dental Studio, home of London dentist Dr Abbas Haji. His mission is simple: to raise the bar of dental care for patients in Dar es Salaam by working to the high British standards he was used to in London.

Smart Dental Clinic Smart Dental Clinic
Green Acres House,Plot 73 Bagamoyo RD, Victoria
Dar Es Salaam

High standard Dental treatment in Dar es salaam, Tanzania