Esnan Dental Turkish CLINIC,dar Es Salaam

Esnan Dental Turkish CLINIC,dar Es Salaam

Comments

IMPORTANT INFO ..FOR MORE CALL 0782 759749
excellent care
Best service in town. Looking forward to my next visit. Keep it up.
World class exemplary service; not available anywhere in Dar es Salaam.

We are delighted that you chose to visit our page and look forward to serving your dental needs. Our mission is to give you the highest quality dental care

Operating as usual

Ukitaka meno kama haya tupigie simu 0782759749 tukuhudumie tabasamu lako ndio kipaumbele chetu

Monday wisdom

Monday wisdom

Welcome again faith

KUWA NA IJUMAA NJEMA NA YENYE MAFANIKIO NA BARAKA TELE

Karibuni esnan dental turkish clinic

Je unajua meno ya kupandikiza hayatoboki wala kuoza? Kama unaswali lolote uliza kwenye comment bellow
Au piga 0782759749 kwa maelezo zaidi
#dentalimplants
#dentalhygienist

Leo zoezi ni kufanya flossing kwenye meno yote afu ukomment umejisikaje baada kufanya zoezi hilo
#tuesdaytip
#tuesdayvibes
#tuesdaymood
#tuesdaythoughts
#flossing
#teethcleaning

#reminder
#mondaymorning
#mondaymood
#mondayfunday

Dental humour

Tunza meno yako na yenyewe yatakutunza. Lini ulifanya utafiti wa kinachoendelea kwenye meno yako?
PIGA SIMU 0782759749 usisubiri jino liume liwahi jino lako kabla halijaharibika

#Dentist
#DentalHumour
#HealthyLiving
#OralHealth
#Toothbrush
#HealthyTeeth
#dentistindar
#dentistry
#dentist
#dental
#smile
#teeth
#cosmeticdentistry
#dentalcare
#tooth
#dentalimplants
#veneers
#orthodontics
#oralhealth
#dentalhygienist
#dentalhygiene
#dentalclinic
#teethwhitening

LEO TUMERUDISHA KWA JAMII KWA KUWAFUNDISHA WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA USHINDI UMUHIMU WA USAFI WA MENO IMEKUWA NI FURAHA NA KWETU SOTE ..KUSAIDIA NI KUJALI
#HELPINGISCARING
#givingbacktothecommunity

Je unataka meno meupe?
Tupigie Sasaivi tukung'arishe kwa punguzo la 50%
Karibu esnan dental turkish clinic
#Dentist
#DentalHumour
#HealthyLiving
#OralHealth
#Toothbrush
#HealthyTeeth
#dentistindar
#dentistry
#dentist
#dental
#smile
#teeth
#cosmeticdentistry
#dentalcare
#tooth
#dentalimplants
#veneers
#orthodontics
#oralhealth
#dentalhygienist
#dentalhygiene
#dentalclinic
#teethwhitening
#oralsurgery
#implant

Je unajua kutabasamu kunakufanya uongeze mvuto kwa wengine. Swali tabasamu lako liko vizuri kuwavutia wengine au unahitaji marekebisho kidogo tupigie esnan dental turkish clinic tukusaidie uwavutie waliokaribu yako 0782 759 749
Fata tovuti yetu www.esnandentaltz.com
#Dentist
#DentalHumour
#HealthyLiving
#OralHealth
#Toothbrush
#HealthyTeeth
#dentistindar
#dentistry
#dentist
#dental
#smile
#teeth
#cosmeticdentistry
#dentalcare
#tooth
#dentalimplants
#veneers
#orthodontics
#oralhealth
#dentalhygienist
#dentalhygiene
#dentalclinic
#teethwhitening
#oralsurgery
#implant
#smilemakeover

USIKUBALI KUWA NA MENO MABAYA WAKATI ESNAN DENTAL IPO NA WEWE.
, TUMIA FURSA HII UTABASAMU KAMA SUPERSTAR
PIGA SIMU 0782759749
INGIA TOVUTI YETU
www.esnandentaltz.com
#Dentist
#DentalHumour
#HealthyLiving
#OralHealth
#Toothbrush
#HealthyTeeth
#dentistindar
#dentistry
#dentist
#dental
#smile
#teeth
#cosmeticdentistry
#dentalcare
#tooth
#dentalimplants
#veneers
#orthodontics
#oralhealth
#dentalhygienist
#dentalhygiene
#dentalclinic
#teethwhitening
#oralsurgery
#implant
#smilemakeover

KUWA NA TABASAMU ZURI UKIWA NA UMRI WOWOTE..
je inawezakana ?

Ndio, ukiwekewa Jino la kupandikIza au "Dental Implant".

Jino la kupandikiza au dental implant ni jino ambalo huwekwa ukiwa umeng'oa jino lolote , unarudishiwa jino lako kwa kuwekewa jino la kupandikiza .

Jino la kupandikizwa au dental Implant ni technolojia ya kisasa hapa nchini Tanzania ila duniani imeanza kutumika toka 1972.

Kwanza unawekewa mzizi wa jino wa titanium ili ifanane na mzizi wa jino lako alafu unawekewa crown ili ifanane na jino lako kipande kinachoonekana mdomoni..

Haya meno ya kupandikiza au dental implants uzuri wake ni

1. Hufanana na meno yako halisi.
2. Utayahisi kama meno yako halisi
3. Ni ya kukaa mdomoni moja kwa moja , huyavui yani permanent
4. Hayaozi, hayatoboki, hayaumi .
5. Yakitumzwa vizuri hukaa umri wako wotee bila ya shida yeyote .

Technolojia hii inapatikana ESNAN DENTAL TURKISH CLINIC , Clinic ya kwanza Tanzania kuleta hii technolojia tanzania kwa usaidizi wa Dr Emin Simsek na Dr Necati Can mwaka 2010..
Kama unamaswali uliza hapa na pia unaweza follow page yetu ili uelimike zaidi .

Instagram, Facebook, Youtube kwa jina la "Esnan dental turkish clinic"

Tabasamu lako ndio dhumuni letu ..
Tunapenda watanzania waondokane kabisa na matatizo ya kinywa na meno , tunafanya haya kwa kutoa elimu bure kwa njia ya mtandao na kutoa huduma bora, yenye kiwango cha kimataifa , kwa bei nafuu..

Pia tunatoa mashindano kila mara na washindj hupata kutibiwa BURE kabisa hapa clinic yetu.

Kama umependa mtumie na mwenzako huenda atafaidika pia ..
Ahsante sana

Piga 0782 759749
@nabbyz_nabillah @meena_ally @mohaldo_9 @thecelebritydentist_tz @lilton.079 @rukaiyafakh

#dentalimplants #meno #menobandia #menoyakupandikiza
#tabasamu #esnan

KUWA NA TABASAMU ZURI UKIWA NA UMRI WOWOTE..
je inawezakana ?

Ndio, ukiwekewa Jino la kupandikIza au "Dental Implant".

Jino la kupandikiza au dental implant ni jino ambalo huwekwa ukiwa umeng'oa jino lolote , unarudishiwa jino lako kwa kuwekewa jino la kupandikiza .

Jino la kupandikizwa au dental Implant ni technolojia ya kisasa hapa nchini Tanzania ila duniani imeanza kutumika toka 1972.

Kwanza unawekewa mzizi wa jino wa titanium ili ifanane na mzizi wa jino lako alafu unawekewa crown ili ifanane na jino lako kipande kinachoonekana mdomoni..

Haya meno ya kupandikiza au dental implants uzuri wake ni

1. Hufanana na meno yako halisi.
2. Utayahisi kama meno yako halisi
3. Ni ya kukaa mdomoni moja kwa moja , huyavui yani permanent
4. Hayaozi, hayatoboki, hayaumi .
5. Yakitumzwa vizuri hukaa umri wako wotee bila ya shida yeyote .

Technolojia hii inapatikana ESNAN DENTAL TURKISH CLINIC , Clinic ya kwanza Tanzania kuleta hii technolojia tanzania kwa usaidizi wa Dr Emin Simsek na Dr Necati Can mwaka 2010..
Kama unamaswali uliza hapa na pia unaweza follow page yetu ili uelimike zaidi .

Instagram, Facebook, Youtube kwa jina la "Esnan dental turkish clinic"

Tabasamu lako ndio dhumuni letu ..
Tunapenda watanzania waondokane kabisa na matatizo ya kinywa na meno , tunafanya haya kwa kutoa elimu bure kwa njia ya mtandao na kutoa huduma bora, yenye kiwango cha kimataifa , kwa bei nafuu..

Pia tunatoa mashindano kila mara na washindj hupata kutibiwa BURE kabisa hapa clinic yetu.

Kama umependa mtumie na mwenzako huenda atafaidika pia ..
Ahsante sana

Piga 0782 759749
@nabbyz_nabillah @meena_ally @mohaldo_9 @thecelebritydentist_tz @lilton.079 @rukaiyafakh

#dentalimplants #meno #menobandia #menoyakupandikiza
#tabasamu #esnan

Hata wewe unaweza ukawa na meno mazuri yenye muonekano halisi. Piga simu 0782759749 kwa kama unashida yoyote ya meno na maelezo zaidi
Comment kama unatatizo la meno tukusaidie
#dental
#implants
#dentistindar

Tabasamu zuri huongeza uzuri karibu Esnan dental tukupe tabasamu zuri
#cutesmile
#beautifulsmile
#dental
#dentist
#dentistry

Je unajua haijalishi una umri gani unaweza ukawana na meno mazuri. Tunaweka meno bandia ambayo yanafanyakazi kama yale yaliyotoka ..usikae na mapengo ziba leo piga 0782759749 tukuhudumie
#dental
#dentistry
#dentalimplants
#implantology

Je unaharufu mbaya ya mdomo hata ukipiga mswaki usione aibu tuulize tukusaidie kwa ushauri na matibabu
#clean
#dentalhygiene
#badbreath
#goodbreath
#dental
#dentistindar
#dentalclinic
#dentalhospital
#dentist
#dentistry
#daktariwameno
#daktari

KUWA NA WIKI YENYE MAFANIKIO NA FURSA TELE..

KUWA NA WIKI YENYE BARAKA NA FURSA ..

CHEKA KWA KUJIAMINI UKISHA HUDUMIWA NA ESNAN DENTAL TURKISH CLINIC
#dental

Timeline Photos

KARIBU ESNAN DENTAL TURKISH CLINIC
#dental
#clinic
#dentistry
#esnan
#DAKTARIWAMENO

When you smile you win your troubles and someone’s heart too. Keep on smiling. #SmileWithMe #MrToothTz🦷🇹🇿

Timeline Photos

Ni wiki mpya endelea kujaribu, endelea kusali, kuwa na mawazo chanya, kuwa poa, shukuru kwa ulichonacho, kuwa bora zaidi na uwe na wiki njema yenye mafanikio JE WIKI YAKO IMEANZAJE COMMENT LIKE FOLLOW OUR ESNAN HAPPY FAMILY😉😊
STAY BLESSED
BE HUMBLE
#MONDAY
#JUMATATU
#PRODUCTIVE
#DENTAL
#BLUEMONDAY

Atakae jibu vizuuuri atapata zawadi kutoka esnan dental..
its fun you should try it😊
Don't forget to like
#funfacts
#dental
#teeth

Brushing cleans the surface of your teeth. You need to floss in order to clean out the gaps between your teeth, where bacteria often reside. If you don't floss, you're more likely to have plaque buildup, which can lead to cavities, tooth decay and gum disease.
DID YOU FLOSS TODAY?

Timeline Photos

Commemoration of world oral health day.

THIS YEAR GLOBAL THEME SAYS (AHH) ACT ON MOUTH HEALTH. WE ARE HERE TO BRING AWARENESS OF THE ISSUES ON ORAL HEALTH AND THE IMPORTANCE OF ORAL HYGIENE TO EVERYONE OLD AND YOUNG.

Want your business to be the top-listed Dentist in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Location

Telephone

Address


OLD BAGAMOYO ROAD,130 MIKOCHENI B 65236
Dar Es Salaam
+255

Opening Hours

Monday 08:00 - 20:00
Tuesday 08:00 - 20:00
Wednesday 08:00 - 20:00
Thursday 08:00 - 20:00
Friday 08:00 - 20:00
Saturday 08:00 - 17:30
Sunday 11:00 - 14:00
Other General Dentists in Dar es Salaam (show all)
Dental Studio Dental Studio
1) 1st Floor Sea Cliff Village; 2) Shoppers Plaza Mbezi, Kanisa Road,
Dar Es Salaam, 38322

Welcome to the Dental Studio, home of London dentist Dr Abbas Haji. His mission is simple: to raise the bar of dental care for patients in Dar es Salaam by working to the high British standards he was used to in London.

Empire Dental Clinic - Dar es Salaam Empire Dental Clinic - Dar es Salaam
1st Floor, Faykat Tower, Plot 236, Ali Hassan Mwinyi Rd, Kinondoni
Dar Es Salaam, 255

We are a comprehensive oral Dental clinic in Dar es Salaam . Apart from providing general dentistry for the whole family the clinic offers cosmetic solutions to enhance your smile through teeth whitening, veneers, Dental braces and dental implants.

All Smiles Dental Clinic All Smiles Dental Clinic
Zanaki Street, Plot 827, Block 22
Dar Es Salaam, 50300

Conveniently located at DTV roundabout in the heart of Dar-Es-Salaam on Zanaki Street right above Al Quaim Pharmacy!

ABC Dental Clinic ABC Dental Clinic
2nd Floor, "KFC Restaurant Builing" Mikocheni Village, Mwai Kibaki Riad
Dar Es Salaam, +255

ABC is a new Dental Clinic in Dar Es Salaam, Tanzania. The Clinic is located at Mwai Kibaki road, in the building where KFC Restaurant is at.

OMEGA Dental CARE" clinic. OMEGA Dental CARE" clinic.
Morogor Road Magomeni Usalama Opposite Brt Bus Stand
Dar Es Salaam, +255

we are very dedicated in taking care and delivering standard dental treatment.Like removale partila denture,fixed braces,root canal treatment, crown.

Ukasha dental clinic Ukasha dental clinic
[email protected]
Dar Es Salaam

Providing Oral haelth services: -Prevention -Treatment -Rehabilitation

Smart Dental Clinic Smart Dental Clinic
Green Acres House,Plot 73 Bagamoyo RD, Victoria
Dar Es Salaam

High standard Dental treatment in Dar es salaam, Tanzania

Akim Dental Service Akim Dental Service
Samora Avenue NHC House 9th Floor Room 918
Dar Es Salaam

Open Monday - Saturday 8:00am - 5:00pm

About   Privacy   Login C